Kama huchukui tiba, unakuja ofisini, ya mazungumzo utalipia kutoka na muda wako.
Pata ushauri binafsi wa kiafya kutoka kwa mshauri wa Okoa Mwili.
💠 Dakika 30 za kwanza: Tsh 50,000
💠 Zaidi ya dakika 30: Tsh 100,000
Utapata:
✅ Mwongozo wa lishe bure unaokufaa
✅ Maelekezo ya kiafya kulingana na hali yako
✅ Msaada na ushauri kila unapohitaji baada ya session
Huduma hii inakusaidia kujua chanzo cha changamoto zako, tiba sahihi za asili, na namna ya kurejesha afya yako kwa usalama.