Ushauri wa Kiafya (Consultation – Okoa Mwili) Chini ya Dakika 30

Ushauri wa Kiafya (Consultation – Okoa Mwili) Chini ya Dakika 30

Kama huchukui tiba, unakuja ofisini, ya mazungumzo utalipia kutoka na muda wako.

Pata ushauri binafsi wa kiafya kutoka kwa mshauri wa Okoa Mwili.

💠 Dakika 30 za kwanza: Tsh 50,000
💠 Zaidi ya dakika 30: Tsh 100,000

Utapata:
✅ Mwongozo wa lishe bure unaokufaa
✅ Maelekezo ya kiafya kulingana na hali yako
✅ Msaada na ushauri kila unapohitaji baada ya session

Huduma hii inakusaidia kujua chanzo cha changamoto zako, tiba sahihi za asili, na namna ya kurejesha afya yako kwa usalama.
TSh 42,500.00

TSh 80,000.00