Super Focus
Super Focus
Super Focus
Super Focus
Super Focus
Super Focus
Super Focus

Super Focus

🌿 SUPER FOCUS

Bidhaa hii imetengenezwa mahsusi kusaidia afya ya akili, kumbukumbu, umakini na kuongeza ufanisi wa ubongo. Ina viinilishe vya asili vinavyolinda seli za ubongo, kuongeza mzunguko wa damu kichwani, na kupunguza uchovu wa akili.

✅ Faida Kuu za Super Focus
1. Kuimarisha kumbukumbu
-Husaidia kuondoa kusahau mara kwa mara.
-Huweka seli za ubongo zikiwa imara na zenye mawasiliano bora.

2. Kuongeza umakini na concentration
-Husaidia wanafunzi na wafanyakazi wanaohitaji umakini mkubwa.
-Inazuia mawazo kusambaa hovyo na kukuza uwezo wa kujifunza haraka.

3. Kupunguza uchovu wa akili (mental fatigue)
-Inaboresha mzunguko wa damu kwenye ubongo.
-Hupunguza dalili za kizunguzungu, uchovu wa macho na usingizi wakati wa kazi.

4. Kinga dhidi ya magonjwa ya akili
-Huzuia kuzorota kwa seli za ubongo kunakosababisha Alzheimer’s, Dementia na Parkinson’s.
-Inapunguza uwezekano wa kushuka kwa uwezo wa akili uzeeni.

5. Kuboresha hali ya hisia (mood)
-Inasaidia kupunguza msongo wa mawazo na huzuni.
-Inakuweka kwenye hali ya utulivu na amani ya ndani.

6. Nguvu kwa wanafunzi na wajasiriamali
-Inasaidia kukesha au kufanya kazi kwa muda mrefu bila kuchoka akili.
-Inakuza uwezo wa kufanya maamuzi sahihi na haraka.

📦 Dozi na Gharama
-Siku 15 👉 Tsh 95,000/=
-Mwezi 1 👉 Tsh 190,000/=
-Miezi 3 👉 Tsh 570,000/=

📞 Piga au WhatsApp +255 767 716 093 kupata sasa hivi.

👉 Recomendation: Kwa matokeo ya kudumu, utumie Super Focus mfululizo kwa miezi 3 – itaimarisha ubongo wako, kumbukumbu na umakini kwa kiwango cha juu.
TSh 80,750.00

TSh 130,000.00