πΏ Muscle-Bone Care
Hii ni virutubisho maalum vilivyoundwa kusaidia afya ya mifupa, misuli na maungio kwa ujumla. Inafaa kwa watu wenye matatizo ya mifupa, maumivu ya viungo, au changamoto za uzeeni zinazohusisha mifupa na misuli.
β
Faida Kuu za Muscle-Bone Care
1. Kuimarisha Mifupa
-Hupatia mwili madini muhimu yanayojenga na kuimarisha mifupa.
-Hupunguza hatari ya mifupa kupasuka au kupata osteoporosis.
2. Afya ya Maungio (Joints)
-Inapunguza maumivu ya maungio yanayotokana na kuharibika kwa cartilage au umri.
-Husaidia kulainisha maungio na kuongeza uwezo wa kusogea bila maumivu.
3. Nguvu ya Misuli
-Huongeza nguvu na uimara wa misuli.
-Inasaidia kupunguza uchovu wa misuli baada ya kazi nzito au mazoezi.
4. Kurekebisha Neva na Disk
-Husaidia kuimarisha neva zinazohusiana na mgongo na mikono/miguu.
-Hupunguza maumivu yanayosababishwa na shinikizo kwenye disk au mishipa.
5. Kuzuia Uvimbe na Maumivu ya Kudumu
-Hupunguza uvimbe kwenye maungio na misuli.
-Husaidia kupunguza hali ya arthritis na maumivu ya muda mrefu.
6. Afya ya Wazee na Wagonjwa wa Muda Mrefu
-Inafaa kwa watu wanaopungua nguvu kutokana na uzee.
-Huimarisha mwili na kupunguza ulegevu wa mifupa na misuli.
π¦ Dozi na Gharama
-Siku 15 π Tsh 98,000/=
-Mwezi 1 π Tsh 196,000/=
-Miezi 3 π Tsh 594,000/=
π Piga au WhatsApp +255 767 716 093 kupata sasa hivi.
π Recomendation: Kwa matokeo bora zaidi, utumie kwa miezi 3 mfululizo ili kujenga na kuimarisha mifupa, misuli na maungio kwa kudumu.