ANGEL E + CHOLEDUZ OMEGA SUPREME
(Pack ya Ngozi na Uzazi)
πΈ Faida za Angel E
1. Kwa Ngozi
-Anti-oxidant ya nguvu β Vitamin E ndani yake hulinda ngozi dhidi ya uharibifu wa free radicals, hivyo kupunguza kuzeeka mapema, mikunjo na makunyanzi.
-Ngozi nyororo na yenye mngβao β Husaidia kuongeza unyevunyevu na kupunguza ukavu, hasa kwa wanawake baada ya miaka 30 au walio na homoni kushuka.
-Kupunguza alama za uzee na makovu β Hurekebisha seli za ngozi zilizoharibika, hivyo kupunguza makovu na mabaka meusi usoni au mwilini.
-Kulinda ngozi dhidi ya jua β Huimarisha kinga ya ngozi dhidi ya madhara ya miale ya UV.
2. Kwa Uzazi
-Kusawazisha homoni za kike β Husaidia kurekebisha viwango vya estrogen, progesterone na homoni zingine muhimu kwa uzazi.
-Kuboresha ute wa uzazi β Huongeza ute mzuri (cervical mucus) unaowezesha mbegu kusafiri haraka hadi kwenye yai.
-Kuboresha afya ya uke β Hupunguza ukavu ukeni na kuongeza hamu ya tendo la ndoa.
-Kulinda na kupevusha mayai β Hufanya mayai yapevuke vizuri na kuwa na ubora wa juu kwa ajili ya urutubishaji.
π« Faida za Choleduz Omega Supreme
1. Kwa Ngozi
-Asidi muhimu za mafuta (Omega-3,6,9) β Hupunguza uvimbe kwenye ngozi, chunusi, wekundu na magonjwa ya ngozi ya muda mrefu.
-Kungβarisha ngozi β Huimarisha mzunguko wa damu, kufanya ngozi ipate oksijeni na virutubisho vizuri zaidi.
-Kulinda ngozi kutokana na ukavu na makunyanzi β Omega hufanya ngozi iwe laini na yenye mvuto.
-Kupunguza fangasi na maambukizi β Kwa kuimarisha kinga ya mwili, hupunguza vipele vya mara kwa mara na muwasho kwenye ngozi.
2. Kwa Uzazi
-Kuboresha mzunguko wa damu kwenye via vya uzazi β Hufanya kizazi, mayai na ovari zipate damu safi na yenye oksijeni ya kutosha.
-Kupunguza uvimbe kwenye ovari na kizazi β Husaidia kutibu fibroids, ovarian cysts na endometriosis.
-Kuimarisha mbegu za kiume β Kwa wanaume, omega husaidia kuongeza idadi, nguvu na uimara wa mbegu.
-Kuzuia kuharibika kwa mimba β Kwa sababu ya uwezo wake wa kupunguza uvimbe na kulinda homoni, hupunguza hatari ya mimba kuharibika mapema.
π Faida za Pamoja (Angel E + Choleduz Omega)
-Ngozi inakuwa safi, nyororo na yenye mngβao wa asili.
-Hupunguza ukavu ukeni, maumivu ya matiti, na kukosa hamu ya tendo la ndoa.
-Husaidia wanawake wenye matatizo ya hormonal imbalance, cyst, fibroids, PID na hedhi zisizo za kawaida.
-Huimarisha kinga na kuondoa msongo wa mawazo unaosababisha ngozi kuchoka na kushindwa kushika mimba.
-Huweka sawa uzazi kwa wanaume na wanawake β kuongeza ute wa uzazi, mayai yenye ubora, na mbegu imara.
π° Dozi na Bei
-Dozi ya Mwezi 1: Tsh 340,000/=
-Dozi ya Miezi 3: Tsh 1,020,000/=
π Piga au WhatsApp: +255 767 716 093 ili kupata sasa hivi.