C24/7: Kwa Afya ya NGOZI
C24/7: Kwa Afya ya NGOZI
C24/7: Kwa Afya ya NGOZI
C24/7: Kwa Afya ya NGOZI
C24/7: Kwa Afya ya NGOZI
C24/7: Kwa Afya ya NGOZI

C24/7: Kwa Afya ya NGOZI

🌿 Namna C24/7 Natura Ceutical Inavyosaidia Ngozi
1. Melasma na Madoa Meusi

C24/7 hufanya detox ya ini na damu, ikiondoa sumu ambazo mara nyingi ndizo chanzo cha melasma. Ina antioxidants zaidi ya 22,000 zinazosaidia kupunguza hyperpigmentation na kurejesha rangi ya asili ya ngozi.

2. Chunusi (Acne)

Inadhibiti homoni na kupunguza mafuta kupita kiasi kwenye ngozi. Pia huua bakteria na kuimarisha kinga ya ngozi, hivyo chunusi hupona na hazirudii kwa urahisi.

3. Ngozi Weusi na Kukosa Mng’ao

Virutubisho vyake vinaboresha mzunguko wa damu na kuongeza oksijeni kwenye ngozi. Matokeo yake ngozi inapata mng’ao wa asili na weusi unaondoka.

4. Wekundu na Vipele vya Ngozi

Kwa kuwa ina uwezo wa kupunguza uvimbe na mzio (anti-inflammatory), wekundu, vipele na michubuko hupungua.

5. Michirizi (Stretch Marks)

C24/7 huongeza uzalishaji wa collagen na elastin, ambazo hufanya ngozi iwe na elasticity. Michirizi inaboreshwa hatua kwa hatua.

6. Ukavu wa Ngozi

Inahifadhi maji ndani ya seli na kuongeza mafuta ya asili ya ngozi. Vitamini E na carotenoids hufanya ngozi kuwa laini na yenye unyevunyevu.

7. Ngozi Kuzeeka (Anti-Aging)

C24/7 huzuia uharibifu wa seli kutokana na free radicals. Huchelewesha mikunjo, mistari midogo, na ngozi kushuka.

8. Maambukizi ya Ngozi

Inaunganisha nguvu za vitamini, madini na phytonutrients zinazoua bakteria na fangasi. Husaidia kwenye fangasi sugu, eczema na maambukizi ya mara kwa mara.

9. Pumu ya Ngozi (Eczema / Psoriasis)

Inapunguza muwasho, wekundu na ukavu. Pia huboresha kinga ya mwili na kuzuia kurudi kwa dalili.

10. Makovu

Kwa kuongeza collagen na kurekebisha seli, makovu ya upasuaji, ajali au chunusi hupungua na kuwa laini zaidi.

11. Visunzua na Muwasho

Inasafisha sumu kutoka kwenye damu na kuimarisha kinga, hivyo visunzua na muwasho wa mara kwa mara hupungua.

12. Magonjwa Yote ya Ngozi

Kwa kuwa C24/7 inafanya kazi ndani ya seli, inasaidia matatizo yote ya ngozi yanayotokana na homoni, sumu, kinga dhaifu na ukosefu wa collagen.

💰 Bei za C24/7 Natura Ceutical

-Siku 15: Tsh 90,000/=
-Mwezi 1: Tsh 180,000/=
-Miezi 3: Tsh 540,000/=

📞 Piga au WhatsApp: +255 767 716 093

👉 Kwa matokeo bora zaidi kwenye melasma, chunusi, ngozi kuzeeka au matatizo sugu ya ngozi, inashauriwa kutumia miezi 3 mfululizo pamoja na lishe bora na maji ya kutosha.
TSh 76,500.00

TSh 140,000.00